Joshua 10:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, Yoshua pamoja na jeshi lake lote na mashujaa wakaondoka Gilgali.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi Yoshua akaondoka Gilgali pamoja na jeshi lake lote, wakiwepo mashujaa wote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Yoshua akakwea kutoka Gilgali, yeye, na watu wa vita wote pamoja naye, na mashujaa wenye uwezo pia wote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, Yoshua pamoja na jeshi lake lote na mashujaa wakaondoka Gilgali.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi Yoshua akaondoka Gilgali pamoja na jeshi lake lote, wakiwepo watu wote mashujaa wa vita.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi Yoshua akaondoka Gilgali pamoja na jeshi lake lote, wakiwepo watu wote mashujaa wa vita.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Yoshua akakwea kutoka Gilgali, yeye, na watu wa vita wote pamoja naye, na mashujaa wote wenye uwezo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, Yoshua pamoja na jeshi lake lote na mashujaa wakaondoka Gilgali.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, Yosua alipotoka Gilgali kupanda kwao, yeye nao wapiga vita wote waliokuwa naye, nao hao wote walikuwa mafundi wa vita wenye nguvu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Yoshua akakwea kutoka Gilgali, yeye, na watu wa vita wote pamoja naye, na mashujaa wenye uwezo pia wote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, Yoshua pamoja na jeshi lake lote na mashujaa wakaondoka Gilgali.