Joshua 10:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Baada ya kutembea kutoka Gilgali usiku kucha, Yoshua akawatokea ghafla.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baada ya Yoshua kutembea usiku kucha kutoka Gilgali, akawashambulia ghafula.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Yoshua akawafikilia ghafula; kwani alikwea kutoka Gilgali kwenda usiku kucha.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Baada ya kutembea kutoka Gilgali usiku kucha, Yoshua akawatokea ghafla.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Baada ya Yoshua kutembea usiku kucha kutoka Gilgali, Yoshua akawashambulia kwa ghafula.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Baada ya Yoshua kutembea usiku kucha kutoka Gilgali, akawashambulia ghafula.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Yoshua akawatokea ghafla; kwani alikwea kutoka Gilgali kwenda usiku kucha.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Baada ya kutembea kutoka Gilgali usiku kucha, Yoshua akawatokea ghafla.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, Yosua alipowaendea akitoka Gilgali kwenda usiku kucha, awashambulie kwa mara moja.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Yoshua akawafikilia ghafula; kwani alikwea kutoka Gilgali kwenda usiku kucha.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nyuma ya kutembea kutoka Gilgali usiku kucha, Yoshua akawatokea kwa rafla.