Joshua 11:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yoshua alipokuwa anarudi, akauteka mji wa Hazori. Alimuua mfalme wake maana ndiye aliyekuwa kiongozi wa falme hizo zote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakati huo Yoshua akarudi na kuuteka mji wa Hazori na kumuua mfalme wake kwa upanga. (Hazori ulikuwa mji mkuu wa falme hizo zote.)
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yoshua akarudi wakati huo na kuutwaa Hazori, akampiga mfalme wa Hazori kwa upanga; kwa kuwa Hazori hapo kwanza ulikuwa ni kichwa cha falme hizo zote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yoshua alipokuwa anarudi, akauteka mji wa Hazori. Alimuua mfalme wake maana ndiye aliyekuwa kiongozi wa falme hizo zote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati huo Yoshua akarudi kuuteka mji wa Hazori na kumwua mfalme wake kwa upanga. (Hazori ulikuwa mji mkuu wa falme hizo zote.)
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakati huo Yoshua akarudi na kuuteka mji wa Hazori na kumuua mfalme wake kwa upanga. (Hazori ulikuwa mji mkuu wa falme hizo zote.)
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yoshua akarudi wakati huo na kuutwaa Hazori, akampiga mfalme wa Hazori kwa upanga; kwa kuwa Hazori hapo awali ulikuwa ni kichwa cha falme hizo zote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yoshua alipokuwa anarudi, akauteka mji wa Hazori. Alimuua mfalme wake maana ndiye aliyekuwa kiongozi wa falme hizo zote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakati huo Yosua akarudi, akauteka Hasori, naye mfalme wake akamwua kwa upanga, kwani kale Hasori ulikuwa mji mkuu wa hizi nchi za kifalme zote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yoshua akarudi wakati huo na kuutwaa Hazori, akampiga mfalme wa Hazori kwa upanga; kwa kuwa Hazori hapo kwanza ulikuwa ni kichwa cha falme hizo zote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yoshua alipokuwa anarudi, akauteka muji wa Hazori. Akamwua mufalme wake maana ndiye aliyekuwa kiongozi wa falme hizo zote.