Joshua 11:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini Waisraeli hawakuiteketeza miji iliyokuwa vilimani, isipokuwa tu mji wa Hazori ambao Yoshua aliuteketeza.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini Israeli hawakuichoma moto hata mojawapo ya miji iliyojengwa katika vilima vyao vidogo, isipokuwa mji wa Hazori, ambao Yoshua aliuchoma kwa moto.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini katika habari ya miji hiyo iliyosimama katika vilima vyao, Israeli hawakuipiga moto miji hiyo, isipokuwa ni mji wa Hazori tu; mji huo Yoshua aliupiga moto.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini Waisraeli hawakuiteketeza miji iliyokuwa vilimani, isipokuwa tu mji wa Hazori ambao Yoshua aliuteketeza.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini Israeli hawakuichoma moto hata mojawapo ya miji hiyo iliyojengwa katika vilima vya hao wafalme, isipokuwa mji wa Hazori ambao Yoshua aliuchoma moto.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini Israeli hawakuichoma moto hata mojawapo ya miji iliyojengwa katika vilima vyao vidogo isipokuwa mji wa Hazori ambao Yoshua aliuchoma moto.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini katika habari ya miji hiyo iliyosimama katika vilima vyao, Israeli hakuteketeza kwa moto miji hiyo, isipokuwa ni mji wa Hazori tu; mji huo Yoshua aliuteketeza kwa moto.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini Waisraeli hawakuiteketeza miji iliyokuwa vilimani, isipokuwa tu mji wa Hazori ambao Yoshua aliuteketeza.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini miji yote iliyokuwa juu ya vilima vyao Waisiraeli hawakuiteketeza, Hasori peke yake tu Yosua aliuteketeza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini katika habari ya miji hiyo iliyosimama katika vilima vyao, Israeli hawakuipiga moto miji hiyo, isipokuwa ni mji wa Hazori tu; mji huo Yoshua aliupiga moto.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini Waisraeli hawakuiteketeza miji iliyokuwa kwenye vilima, isipokuwa tu muji wa Hazori ambao Yoshua aliuteketeza.