Joshua 11:16 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yoshua aliiteka nchi nzima: Sehemu za milimani na sehemu zote za Negebu, eneo lote la Gosheni, nchi tambarare, nchi ya Araba, milima ya Israeli na sehemu zake zilizo tambarare;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yoshua akaiteka nchi hii yote: nchi ya vilima, Negebu yote, eneo yote ya Gosheni, na Shefela, Araba na milima ya Israeli pamoja na materemko yake,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hivyo Yoshua akatwaa nchi hiyo yote, hiyo nchi ya vilima, na nchi yote ya Negebu, na nchi yote ya Gosheni, na hiyo Shefela, na hiyo Araba na nchi ya vilima vilima ya Israeli, na hiyo nchi tambarare;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yoshua aliiteka nchi nzima: sehemu za milimani na sehemu zote za Negebu, eneo lote la Gosheni, nchi tambarare, nchi ya Araba, milima ya Israeli na sehemu zake zilizo tambarare;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yoshua akaiteka nchi hii yote: nchi ya vilima, Negebu yote, nchi yote ya Gosheni, nchi chini ya vilima upande wa magharibi, Araba na milima ya Israeli pamoja na nchi chini ya vilima,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yoshua akaiteka nchi hii yote: nchi ya vilima, Negebu yote, eneo yote ya Gosheni, shefela ya upande wa magharibi, Araba na milima ya Israeli pamoja na shefela zao,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hivyo Yoshua akaitwaa nchi hiyo yote, hiyo nchi ya vilima, na nchi yote ya Negebu, na nchi yote ya Gosheni, na hiyo Shefela, na hiyo Araba na nchi ya vilima vilima ya Israeli, na hiyo nchi tambarare;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yoshua aliiteka nchi nzima: Sehemu za milimani na sehemu zote za Negebu, eneo lote la Gosheni, nchi tambarare, nchi ya Araba, milima ya Israeli na sehemu zake zilizo tambarare;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndivyo, Yosua alivyoiteka hiyo nchi nzima, ile ya milimani nayo ya upande wa kusini nayo nchi yote ya Goseni nayo nchi ya tambarare nayo ya nyika nayo milima ya Isiraeli pamoja na nchi yao ya tambarare,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hivyo Yoshua akatwaa nchi hiyo yote, hiyo nchi ya vilima, na nchi yote ya Negebu, na nchi yote ya Gosheni, na hiyo Shefela, na hiyo Araba na nchi ya vilima vilima ya Israeli, na hiyo nchi tambarare;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yoshua aliiteka inchi nzima: sehemu za milima na sehemu zote za kusini, eneo lote la Goseni, inchi ya mabonde, inchi ya Araba, milima ya Israeli na sehemu zake za mabonde;