Joshua 11:18 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Vita alivyopigana Yoshua na wafalme hawa wote vilichukua muda mrefu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yoshua akapigana vita dhidi ya wafalme hawa wote kwa muda mrefu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yoshua akapiga vita siku nyingi na wafalme hao wote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Vita alivyopigana Yoshua na wafalme hawa wote vilichukua muda mrefu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yoshua akapigana vita dhidi ya wafalme hawa wote kwa muda mrefu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yoshua akapigana vita dhidi ya wafalme hawa wote kwa muda mrefu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yoshua akapigana vita siku nyingi na wafalme hao wote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Vita alivyopigana Yoshua na wafalme hawa wote vilichukua muda mrefu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Siku nyingi Yosua alipiga vita nao hao wafalme wote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yoshua akapiga vita siku nyingi na wafalme hao wote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Vita Yoshua aliyopigana na wafalme hawa wote ilikamata muda murefu.