Joshua 11:19 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hakuna mji ambao ulifanya mapatano ya amani na Waisraeli, isipokuwa Gibeoni tu, ambamo waliishi Wahivi. Waisraeli waliiteka miji mingine yote kwa kupigana vita.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hakuna mji wowote katika eneo hili uliofanya mkataba wa amani na Israeli, isipokuwa hao Wahivi wa Gibeoni. Wengine wote walishindwa katika vita.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Haukuwapo mji hata mmoja uliofanya amani na wana wa Israeli, isipokuwa ni wale Wahivi wenye kukaa Gibeoni; wakaitwaa yote vitani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hakuna mji ambao ulifanya mapatano ya amani na Waisraeli, isipokuwa Gibeoni tu, ambamo waliishi Wahivi. Waisraeli waliiteka miji mingine yote kwa kupigana vita.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hakuna ye yote katika eneo hili aliyetafuta amani na Israeli, isipokuwa hao Wahivi wa Gibeoni. Wengine wote walishindwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hakuna mji wowote katika eneo hili uliofanya mkataba wa amani na Israeli, isipokuwa hao Wahivi wa Gibeoni. Wengine wote walishindwa katika vita.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Haukuwapo mji hata mmoja uliofanya amani na wana wa Israeli, isipokuwa ni wale Wahivi waliokaa Gibeoni; wakaitwaa yote kwa vita.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hakuna mji ambao ulifanya mapatano ya amani na Waisraeli, isipokuwa Gibeoni tu, ambamo waliishi Wahivi. Waisraeli waliiteka miji mingine yote kwa kupigana vita.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Haukuwako mji uliofanya mapatano na wana wa Isiraeli, wasipokuwa wale Wahiwi waliokaa Gibeoni; yote mingine waliichukua kwa kupiga vita.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Haukuwapo mji hata mmoja uliofanya amani na wana wa Israeli, isipokuwa ni wale Wahivi wenye kukaa Gibeoni; wakaitwaa yote vitani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hakuna muji ambao ulifanya mapatano ya amani na Waisraeli, isipokuwa Gibeoni tu, ambamo Wahivi waliishi. Waisraeli waliiteka miji mingine yote kwa kupigana vita.