Joshua 11:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wafalme hawa wote wakaungana na kupiga kambi yao katika chemchemi ya Meromu ili wapigane na Waisraeli.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wafalme hawa wote wakaunganisha majeshi yao na kupiga kambi pamoja kwenye Maji ya Meromu, ili kupigana dhidi ya Israeli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wafalme hao wote wakakutana pamoja; wakaenda na kupanga mahema yao pamoja hapo penye maji ya Meromu, ili kupigana na Israeli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wafalme hawa wote wakaungana na kupiga kambi yao katika chemchemi ya Meromu ili wapigane na Waisraeli.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wafalme hao wote wakaunganisha majeshi yao na kupiga kambi pamoja penye Maji ya Meromu, ili kupigana dhidi ya Israeli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wafalme hawa wote wakaunganisha majeshi yao na kupiga kambi pamoja kwenye Maji ya Meromu, ili kupigana dhidi ya Israeli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wafalme hao wote wakakutana pamoja; wakaenda na kupanga mahema yao pamoja hapo penye maji ya Meromu, ili kupigana na Israeli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wafalme hawa wote wakaungana na kupiga kambi yao katika chemchemi ya Meromu ili wapigane na Waisraeli.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hawa wafalme wote walipokwisha kupatana mashauri, wakaenda, wakapiga makambi pamoja kwenye ziwa la Meromu, wapate kupigana nao Waisiraeli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wafalme hao wote wakakutana pamoja; wakaenda na kupanga mahema yao pamoja hapo penye maji ya Meromu, ili kupigana na Israeli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wafalme hawa wote wakaungana na kupiga kambi yao katika chemichemi ya Meromu kusudi wapigane na Waisraeli.