Joshua 11:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, ghafla kwenye chemchemi ya Meromu Yoshua pamoja na jeshi lake lote akawatokea na kuwashambulia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hivyo Yoshua na jeshi lake lote wakaja dhidi yao ghafula kwenye Maji ya Meromu na kuwashambulia,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Yoshua akaenda, na watu wote wa vita pamoja naye, ili kupigana nao hapo penye maji ya Meromu ghafula; wakawaangukia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, ghafla kwenye chemchemi ya Meromu Yoshua pamoja na jeshi lake lote akawatokea na kuwashambulia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hivyo Yoshua pamoja na jeshi lake lote wakaja dhidi yao ghafula na kwenye maji ya Meromu kuwashambulia,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hivyo Yoshua pamoja na jeshi lake lote wakaja dhidi yao ghafula kwenye Maji ya Meromu kuwashambulia,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Yoshua akaenda, na watu wote wa vita pamoja naye, ili kupigana nao hapo penye maji ya Meromu ghafla; wakawashambulia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, ghafla kwenye chemchemi ya Meromu Yoshua pamoja na jeshi lake lote akawatokea na kuwashambulia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, Yosua na wapiga vita wote waliokuwa naye walipowaendea huko kwenye ziwa la Meromu, mara wakawashambulia,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Yoshua akaenda, na watu wote wa vita pamoja naye, ili kupigana nao hapo penye maji ya Meromu ghafula; wakawaangukia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, kwa rafla kwenye chemichemi ya Meromu, Yoshua pamoja na waaskari wake wote akawatokea na kuwashambulia.