Joshua 11:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yoshua aliwakatakata mishipa farasi wao wote na kuyateketeza magari yao kwa moto, kama Mwenyezi-Mungu alivyomwagiza.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yoshua akawatendea kama Mwenyezi Mungu alivyoamuru. Akakata mishipa ya nyuma ya miguu ya farasi wao na kuchoma moto magari yao ya vita.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yoshua akawafanyia vile vile kama Bwana alivyomwamuru; akawatema farasi zao, na magari yao akayapiga moto.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yoshua aliwakatakata mishipa farasi wao wote na kuyateketeza magari yao kwa moto, kama Mwenyezi-Mungu alivyomwagiza.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yoshua akawatendea kama BWANA alivyomwamuru. Akakata mishipa ya nyuma ya miguu ya farasi wao na kuchoma moto magari yao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yoshua akawatendea kama bwana alivyoamuru. Akakata mishipa ya nyuma ya miguu ya farasi wao na kuchoma moto magari yao ya vita.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yoshua akawafanyia vile vile kama BWANA alivyomwamuru; akawakata farasi wao, na kuteketeza magari yao kwa moto.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yoshua aliwakatakata mishipa farasi wao wote na kuyateketeza magari yao kwa moto, kama Mwenyezi-Mungu alivyomwagiza.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yosua akawafanyizia, kama Bwana alivyomwagiza, farasi wao akawakata mishipa, nayo magari yao akayachoma moto.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yoshua akawafanyia vile vile kama BWANA alivyomwamuru; akawatema farasi zao, na magari yao akayapiga moto.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yoshua akakatakata mishipa ya miguu ya farasi wao wote na kuyateketeza magari yao kwa moto, kama Yawe alivyomwagiza.