Joshua 12:22 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
mfalme wa Kedeshi, mfalme wa Yokneamu mji ulioko kwenye mlima Karmeli,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
mfalme wa Kedeshi; mfalme wa Yokneamu katika Karmeli;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na mfalme wa Kedeshi, mmoja; mfalme wa Yokneamu wa Karmeli, mmoja;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
mfalme wa Kedeshi, mfalme wa Yokneamu mji ulioko kwenye mlima Karmeli,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
mfalme wa Kedeshi — mmoja mfalme wa Yokneamu katika Karmeli — mmoja
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
mfalme wa Kedeshi mmoja mfalme wa Yokneamu katika Karmeli mmoja
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na mfalme wa Kedeshi, mmoja; mfalme wa Yokneamu wa Karmeli, mmoja;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
mfalme wa Kedeshi, mfalme wa Yokneamu mji ulioko kwenye mlima Karmeli,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
mfalme wa Kedesi mmoja, mfalme wa Yokinamu wa Karmeli mmoja,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na mfalme wa Kedeshi, mmoja; mfalme wa Yokneamu wa Karmeli, mmoja;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
mufalme wa Kedesi, mufalme wa Yokinamu muji unaokuwa kwenye mulima Karmeli,