Joshua 12:23 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
mfalme wa Dori katika mkoa wa Nafath-dori, mfalme wa Goiimu huko Gilgali na
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
mfalme wa Dori (katika Nafoth-Dori); mfalme wa Goimu katika Gilgali;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
mfalme wa Dori katika kilima cha Dori, mmoja; na mfalme wa makabila katika Gilgali, mmoja;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
mfalme wa Dori katika mkoa wa Nafath-dori, mfalme wa Goiimu huko Gilgali na
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
mfalme wa Dori (katika Nafoth-Dori) — mmoja mfalme wa Goyimu katika Gilgali — mmoja
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
mfalme wa Dori (katika Nafoth-Dori) mmoja mfalme wa Goimu katika Gilgali mmoja
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
mfalme wa Dori katika kilima cha Dori, mmoja; na mfalme wa makabila katika Gilgali, mmoja;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
mfalme wa Dori katika mkoa wa Nafath-dori, mfalme wa Goiimu huko Gilgali na
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
mfalme wa Dori milimani kwa Dori mmoja, mfalme wa makabila ya Gilgali mmoja,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
mfalme wa Dori katika kilima cha Dori, mmoja; na mfalme wa makabila katika Gilgali, mmoja;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
mufalme wa Dori katika sehemu ya Nafoti-Dori, mufalme wa Goyimu kule Gilgali na