Joshua 12:24 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
mfalme wa Tirza. Jumla ya wafalme hao ni thelathini na mmoja.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
mfalme wa Tirsa; jumla ya wafalme thelathini na mmoja (31).
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na mfalme wa Tirsa, mmoja; wafalme hao wote walikuwa ni thelathini na mmoja.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
mfalme wa Tirza. Jumla ya wafalme hao ni thelathini na mmoja.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
mfalme wa Tirsa — mmoja wafalme jumla yao walikuwa thelathini na mmoja.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
mfalme wa Tirsa mmoja wafalme jumla yao ilikuwa thelathini na mmoja.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na mfalme wa Tirza, mmoja; wafalme hao wote walikuwa ni thelathini na mmoja.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
mfalme wa Tirza. Jumla ya wafalme hao ni thelathini na mmoja.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
mfalme wa Tirsa mmoja, wafalme hawa wote ni 31.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na mfalme wa Tirsa, mmoja; wafalme hao wote walikuwa ni thelathini na mmoja.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
mufalme wa Tirza. Jumla ya wafalme hao ni makumi tatu na mumoja.