Joshua 12:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wafalme waliowashinda walikuwa, mmojammoja: Mfalme wa Yeriko, mfalme wa Ai mji ulioko karibu na Betheli,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
mfalme wa Yeriko; mfalme wa Ai (karibu na Betheli);
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
mfalme wa Yeriko, mmoja; mfalme wa Ai, ulio karibu na Betheli, mmoja;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wafalme waliowashinda walikuwa, mmojammoja: mfalme wa Yeriko, mfalme wa Ai mji ulioko karibu na Betheli,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
mfalme wa Yeriko — mmoja mfalme wa Ai (karibu na Betheli) — mmoja
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
mfalme wa Yeriko mmoja mfalme wa Ai (karibu na Betheli) mmoja
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
mfalme wa Yeriko, mmoja; mfalme wa Ai, ulio karibu na Betheli, mmoja;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wafalme waliowashinda walikuwa, mmojammoja: Mfalme wa Yeriko, mfalme wa Ai mji ulioko karibu na Betheli,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mfalme wa Yeriko mmoja, mfalme wa Ai ulioko upande wa Beteli mmoja,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
mfalme wa Yeriko, mmoja; mfalme wa Ai, ulio karibu na Betheli, mmoja;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wafalme walioshindwa walikuwa, mumoja kwa mwengine: mufalme wa Yeriko, mufalme wa Ai muji unaokuwa karibu na Beteli,