Joshua 13:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
pamoja na miji ya mfalme Sihoni wa Waamori, aliyetawala huko Heshboni hadi mpakani mwa Waamoni,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
nayo miji yote ya Sihoni mfalme wa Waamori, aliyetawala Heshboni, hadi mpakani mwa Waamoni.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na miji yote ya Sihoni mfalme wa Waamori, aliyetawala katika Heshboni, hata mpaka wa wana wa Amoni;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
pamoja na miji ya mfalme Sihoni wa Waamori, aliyetawala huko Heshboni hadi mpakani mwa Waamoni,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
nayo miji yote ya Sihoni mfalme wa Waamori, aliyetawala Heshboni, hadi mpakani mwa Waamori.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
nayo miji yote ya Sihoni mfalme wa Waamori, aliyetawala Heshboni, hadi mpakani mwa Waamoni.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na miji yote ya Sihoni mfalme wa Waamori, aliyetawala katika Heshboni, hata mpaka wa wana wa Amoni;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
pamoja na miji ya mfalme Sihoni wa Waamori, aliyetawala huko Heshboni hadi mpakani mwa Waamoni,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nayo miji yote ya Sihoni, mfalme wa Waamori, aliyetawala mle Hesiboni mpaka kwenye mipaka ya wana wa Amoni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na miji yote ya Sihoni mfalme wa Waamori, aliyetawala katika Heshboni, hata mpaka wa wana wa Amoni;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
pamoja na miji ya mufalme Sihoni wa Waamori, aliyetawala kule Hesiboni hata kwa mupaka wa Waamoni,