Joshua 13:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
pamoja na nchi za Gileadi, eneo la Wageshuri na Wamaakathi, mlima wa Hermoni na nchi yote ya Bashani mpaka Saleka;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Vilevile ilijumlisha Gileadi, eneo la Wageshuri na Wamaaka, mlima wote wa Hermoni na Bashani yote ikienea hadi Saleka:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na Gileadi na mpaka wa Wageshuri, na Wamaaka, na mlima wa Hermoni wote, na Bashani yote mpaka Saleka;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
pamoja na nchi za Gileadi, eneo la Wageshuri na Wamaakathi, mlima wa Hermoni na nchi yote ya Bashani mpaka Saleka;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Vile vile ilijumuisha Gileadi, nchi ya Wageshuri na Wamaaka, mlima wote wa Hermoni na Bashani yote hadi Saleka,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Vilevile ilijumlisha Gileadi, eneo la Wageshuri na Wamaaka, mlima wote wa Hermoni na Bashani yote ikienea hadi Saleka:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na Gileadi na mpaka wa Wageshuri, na Wamaaka, na mlima wa Hermoni wote, na Bashani yote mpaka Saleka;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
pamoja na nchi za Gileadi, eneo la Wageshuri na Wamaakathi, mlima wa Hermoni na nchi yote ya Bashani mpaka Saleka;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena Gileadi nazo nchi za Gesuri na za Makati na milima yote ya Hermoni na Basani nzima mpaka Salka.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na Gileadi na mpaka wa Wageshuri, na Wamaaka, na mlima wa Hermoni wote, na Bashani yote mpaka Saleka;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
pamoja na inchi za Gileadi, eneo la Wagesuri na Wamakati mulima wa Hermoni na inchi yote ya Basani mpaka Saleka;