Joshua 13:15 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sehemu ya nchi ambayo Mose aliwapa watu wa kabila la Reubeni kulingana na jamaa zao,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Haya ndio maeneo ambayo Musa alikuwa amewapa kabila la Reubeni kufuatana na koo zao:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Musa akawapa kabila ya wana wa Reubeni kwa kadiri ya jamaa zao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sehemu ya nchi ambayo Mose aliwapa watu wa kabila la Reubeni kulingana na jamaa zao,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Haya ndiyo maeneo ambayo Mose alikuwa amewapa kabila la Reubeni ukoo kwa ukoo:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Haya ndiyo maeneo ambayo Musa alikuwa amewapa kabila la Reubeni ukoo kwa ukoo:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Musa akawapa kabila la wana wa Reubeni kwa kadiri ya jamaa zao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sehemu ya nchi ambayo Mose aliwapa watu wa kabila la Reubeni kulingana na jamaa zao,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mose aliwapa wao wa shina la Rubeni nchi ya kuzigawanyia koo zao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Musa akawapa kabila ya wana wa Reubeni kwa kadiri ya jamaa zao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sehemu ya inchi ambayo Musa aliwapa watu wa kabila la Rubeni kulingana na jamaa zao,