Joshua 13:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
ilikuwa kuanzia Aroeri kando ya bonde la Arnoni na mji uliokuwa katika bonde hilo pamoja na nchi yote ya tambarare ya Medeba.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Eneo la Aroeri lililo ukingoni mwa Bonde la Arnoni, na kuanzia mji ulio katikati ya bonde, pia uwanda wote wa juu kupita Medeba
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mpaka wao ulikuwa kutoka hapo Aroeri, iliyo pale ukingoni mwa bonde la Arnoni, na huo mji ulio katikati ya bonde, na nchi tambarare yote iliyo karibu na Medeba;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
ilikuwa kuanzia Aroeri kando ya bonde la Arnoni na mji uliokuwa katika bonde hilo pamoja na nchi yote ya tambarare ya Medeba.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kuanzia nchi ya Aroeri iliyo ukingoni mwa Bonde la Aroni, na kuanzia mji ulio katikati ya bonde, pia uwanda wote wa juu kupita Madeba
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Eneo la Aroeri lililo ukingoni mwa Bonde la Arnoni, na kuanzia mji ulio katikati ya bonde, pia uwanda wote wa juu kupita Medeba
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mpaka wao ulikuwa kutoka hapo Aroeri, iliyo pale ukingoni mwa bonde la Arnoni, na huo mji ulio katikati ya bonde, na nchi tambarare yote iliyo karibu na Medeba;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
ilikuwa kuanzia Aroeri kando ya bonde la Arnoni na mji uliokuwa katika bonde hilo pamoja na nchi yote ya tambarare ya Medeba.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mpaka wao ulianza Aroeri ulioko kwenye kijito cha Arnoni pamoja na ule mji ulioko mtoni katikati, ukaiingia nchi yote ya tambarare karibu ya Medeba
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mpaka wao ulikuwa kutoka hapo Aroeri, iliyo pale ukingoni mwa bonde la Arnoni, na huo mji ulio katikati ya bonde, na nchi tambarare yote iliyo karibu na Medeba;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
ilikuwa kuanzia Aroeri pembeni ya bonde la Arnoni na muji uliokuwa katika bonde hilo pamoja na inchi yote ya bonde ya Medeba.