Joshua 13:17 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ilikuwa pia pamoja na Heshboni na miji yake yote iliyo katika sehemu tambarare: Yaani Diboni, Bamoth-baali, Beth-baal-meoni,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
hadi Heshboni na miji yake yote kwenye uwanda wa juu, ikijumlishwa miji ya Diboni, Bamoth-Baali, Beth-Baal-Meoni,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na Heshboni na miji yake yote iliyoko katika bonde; na Diboni, na Bamoth-baali, na Beth-baal-meoni;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ilikuwa pia pamoja na Heshboni na miji yake yote iliyo katika sehemu tambarare: yaani Diboni, Bamoth-baali, Beth-baal-meoni,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
mpaka Heshboni na miji yake yote kwenye uwanda wa juu, ikiwa ni pamoja na Diboni, Bamoth-Baali, Beth-Baal-Meoni,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
hadi Heshboni na miji yake yote kwenye uwanda wa juu, ikijumlishwa miji ya Diboni, Bamoth-Baali, Beth-Baal-Meoni,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na Heshboni na miji yake yote iliyoko katika bonde; na Diboni, na Bamoth-baali, na Beth-baal-meoni;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ilikuwa pia pamoja na Heshboni na miji yake yote iliyo katika sehemu tambarare: Yaani Diboni, Bamoth-baali, Beth-baal-meoni,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
na Hesiboni pamoja na miji yake yote iliyoko katika nchi ya tambarare: Diboni na Bamoti-Baali na Beti-Baali-Meoni,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na Heshboni na miji yake yote iliyoko katika bonde; na Diboni, na Bamoth-baali, na Beth-baal-meoni;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ilikuwa vilevile pamoja na Hesiboni na miji yake yote inayokuwa katika sehemu ya bonde: ni kusema Diboni, Bamoti-Bali, Beti-Bali-Meoni,