Joshua 13:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sehemu hizo ni: Nchi yote ya Wafilisti na nchi yote ya Wageshuri,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Nchi iliyosalia ni hii: “maeneo yote ya Wafilisti na Wageshuri:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nchi iliyosalia ni hii; nchi zote za Wafilisti, na Wageshuri wote;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sehemu hizo ni: nchi yote ya Wafilisti na nchi yote ya Wageshuri,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Haya ndiyo maeneo ambayo bado hayajatekwa: maeneo yote ya Wafilisti na Wageshuri:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Nchi iliyosalia ni hii: maeneo yote ya Wafilisti na Wageshuri:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nchi iliyosalia ni hii; nchi zote za Wafilisti, na Wageshuri wote;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sehemu hizo ni: Nchi yote ya Wafilisti na nchi yote ya Wageshuri,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nazo nchi zilizosalia ni hizi: majimbo yote ya Wafilisti na Gesuri nzima
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nchi iliyosalia ni hii; nchi zote za Wafilisti, na Wageshuri wote;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sehemu hizo ni: inchi yote ya Wafilistini na inchi yote ya Wagesuri,