Joshua 13:22 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Balaamu, mtabiri, mwana wa Beori ambaye Waisraeli walimuua alikuwa mmoja wao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Pamoja na wale waliouawa katika vita, Waisraeli walikuwa wamemuua kwa upanga Balaamu mwana wa Beori aliyekuwa mwaguzi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Balaamu naye, huyo mwana wa Beori, huyo mchawi, wana wa Israeli walimwua kwa upanga kati ya hao wengine waliowaua.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Balaamu, mtabiri, mwana wa Beori ambaye Waisraeli walimuua alikuwa mmoja wao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Pamoja na wale waliouawa katika vita, Waisraeli walikuwa wamemwua kwa upanga Balaamu mwana wa Beori aliyekuwa nabii.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Pamoja na wale waliouawa katika vita, Waisraeli walikuwa wamemuua kwa upanga Balaamu mwana wa Beori aliyekuwa mchawi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Balaamu naye, huyo mwana wa Beori, huyo mchawi, wana wa Israeli walimwua kwa upanga kati ya hao wengine waliowaua.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Balaamu, mtabiri, mwana wa Beori ambaye Waisraeli walimuua alikuwa mmoja wao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hata mwaguaji Bileamu, mwana wa Beori, wana wa Isiraeli walimwua kwa upanga pamoja na wengine waliouawa nao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Balaamu naye, huyo mwana wa Beori, huyo mchawi, wana wa Israeli walimwua kwa upanga kati ya hao wengine waliowaua.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Balamu mwaguzi mwana wa Beori ambaye Waisraeli walimwua alikuwa mumoja wao.