Joshua 13:23 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mpaka wa nchi ya kabila la Reubeni upande wa magharibi ulikuwa mto Yordani. Miji na maeneo yaliyotajwa hapa ndiyo sehemu waliyopewa watu wa koo za kabila la Reubeni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mpaka wa Wareubeni ulikuwa ni ukingo wa Mto Yordani. Miji hii na vijiji vyake ilikuwa urithi wa Wareubeni kufuatana na koo zao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na mpaka wa wana wa Reubeni ulikuwa ni mto wa Yordani, na mpaka wake. Huo ndio urithi wa wana wa Reubeni sawasawa na jamaa zao, miji yake na vijiji vyake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mpaka wa nchi ya kabila la Reubeni upande wa magharibi ulikuwa mto Yordani. Miji na maeneo yaliyotajwa hapa ndiyo sehemu waliyopewa watu wa koo za kabila la Reubeni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mpaka wa Wareubeni ulikuwa ni ukingo wa Mto Yordani. Miji hii ndiyo iliyokuwa urithi wa Wareubeni ukoo kwa ukoo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mpaka wa Wareubeni ulikuwa ni ukingo wa Mto Yordani. Miji hii na vijiji vyake ndiyo iliyokuwa urithi wa Wareubeni ukoo kwa ukoo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na mpaka wa wana wa Reubeni ulikuwa ni mto wa Yordani, na kingo zake. Huo ndio urithi wa wana wa Reubeni sawasawa na jamaa zao, miji yake na vijiji vyake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mpaka wa nchi ya kabila la Reubeni upande wa magharibi ulikuwa mto Yordani. Miji na maeneo yaliyotajwa hapa ndiyo sehemu waliyopewa watu wa koo za kabila la Reubeni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mpaka mwingine wa wana wa Rubeni ulikuwa mto wa Yordani. Huu ulikuwa mpaka wa fungu lao wana wa Rubeni la kuzigawanyia koo zao ile miji pamoja na mitaa yao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na mpaka wa wana wa Reubeni ulikuwa ni mto wa Yordani, na mpaka wake. Huo ndio urithi wa wana wa Reubeni sawasawa na jamaa zao, miji yake na vijiji vyake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mupaka wa inchi ya kabila la Rubeni upande wa magaribi ulikuwa muto Yordani. Miji na maeneo yaliyotajwa hapa ndiyo sehemu waliyopewa watu wa ukoo za kabila la Rubeni.