Joshua 13:24 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sehemu ya nchi ambayo Mose aliwapa watu wa kabila la Gadi kulingana na koo zao
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Haya ndio maeneo ambayo Musa alikuwa amewapa kabila la Gadi, kufuatana na koo zao:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Musa akawapa kabila ya Gadi, hao wana wa Gadi, kwa kadiri ya jamaa zao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sehemu ya nchi ambayo Mose aliwapa watu wa kabila la Gadi kulingana na koo zao
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Haya ndiyo maeneo ambayo Mose alikuwa amewagawia kabila la Gadi, ukoo kwa ukoo:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Haya ndiyo maeneo ambayo Musa alikuwa amewapa kabila la Gadi, ukoo kwa ukoo:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Musa akawapa kabila la Gadi, hao wana wa Gadi, kwa kadiri ya jamaa zao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sehemu ya nchi ambayo Mose aliwapa watu wa kabila la Gadi kulingana na koo zao
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao wa shina la Gadi, wale wana wa Gadi, Mose aliwapa nchi ya kuzigawanyia koo zao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Musa akawapa kabila ya Gadi, hao wana wa Gadi, kwa kadiri ya jamaa zao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sehemu ya inchi ambayo Musa aliwapa watu wa kabila la Gadi kulingana na ukoo zao