Joshua 13:25 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
ilikuwa Yazeri, miji yote ya Gileadi na nusu ya nchi ya Waamoni hadi Aroeri iliyo mashariki ya Raba,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nchi ya Yazeri, miji yote ya Gileadi na nusu ya nchi ya Amoni iliyoenea hadi Aroeri, karibu na Raba;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mpaka wao ulikuwa ni Yazeri, na miji hiyo ya Gileadi, na nusu ya nchi ya wana wa Amoni, mpaka Aroeri uliokabili Raba;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
ilikuwa Yazeri, miji yote ya Gileadi na nusu ya nchi ya Waamoni hadi Aroeri iliyo mashariki ya Raba,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nchi ya Yazeri, miji yote ya Gileadi na nusu ya nchi ya Amoni mpaka Aroeri, karibu na Raba;
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nchi ya Yazeri, miji yote ya Gileadi na nusu ya nchi ya Amoni iliyoenea hadi Aroeri, karibu na Raba;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mpaka wao ulikuwa ni Yazeri, na miji hiyo ya Gileadi, na nusu ya nchi ya wana wa Amoni, mpaka Aroeri uliokabili Raba;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
ilikuwa Yazeri, miji yote ya Gileadi na nusu ya nchi ya Waamoni hadi Aroeri iliyo mashariki ya Raba,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mpaka wao ulikuwa huu: Yazeri na miji yote ya Gileadi na nusu ya nchi ya wana wa Amoni mpaka Aroeri unaoelekea Raba.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mpaka wao ulikuwa ni Yazeri, na miji hiyo ya Gileadi, na nusu ya nchi ya wana wa Amoni, mpaka Aroeri uliokabili Raba;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
ilikuwa Yazeri, miji yote ya Gileadi na nusu ya inchi ya Waamoni mpaka Aroeri kwa upande wa mashariki wa Raba.