Joshua 13:26 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
vilevile kuanzia Heshboni hadi Ramath-mizpe, Betonimu, na kutoka Mahanaimu mpaka wa Debiri,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
na kuanzia Heshboni hadi Ramath-Mispa na Betonimu, na kutoka Mahanaimu hadi eneo la Debiri;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
tena kutoka Heshboni mpaka Ramath-Mizpe, na Betonimu; tena kutoka Mahanaimu hata mpaka wa Debiri;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
vilevile kuanzia Heshboni hadi Ramath-mizpe, Betonimu, na kutoka Mahanaimu mpaka wa Debiri,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kuanzia Heshboni mpaka Ramath-Mizpa na Betonimu, tena kutoka Mahanaimu hadi nchi ya Debiri;
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
na kuanzia Heshboni mpaka Ramath-Mispa na Betonimu, na kutoka Mahanaimu hadi eneo la Debiri;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
tena kutoka Heshboni mpaka Ramath-Mizpe, na Betonimu; tena kutoka Mahanaimu hadi mpaka wa Debiri;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
vilevile kuanzia Heshboni hadi Ramath-mizpe, Betonimu, na kutoka Mahanaimu mpaka wa Debiri,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena kutoka Hesiboni mpaka Ramati-Misipe na Betonimu, tena toka Mahanaimu kufika kwenye mpaka wa Debiri.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
tena kutoka Heshboni mpaka Ramath-Mizpe, na Betonimu; tena kutoka Mahanaimu hata mpaka wa Debiri;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Vilevile kuanzia Hesiboni mpaka Ramati-Misipe, Betonimu, na kutokea Mahanaimu hata kwa mupaka wa Debiri.