Joshua 13:28 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Miji na vijiji hivyo ndivyo walivyopewa watu wa kabila la Gadi kulingana na koo zao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Miji hii na vijiji vyake ilikuwa urithi wa kabila la Gadi kufuatana na koo zao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Huo ndio urithi wa wana wa Gadi sawasawa na jamaa zao, miji yake na vijiji vyake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Miji na vijiji hivyo ndivyo walivyopewa watu wa kabila la Gadi kulingana na koo zao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Miji hii na vijiji vyake vilikuwa urithi wa kabila la Gadi ukoo kwa ukoo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Miji hii na vijiji vyake ilikuwa urithi wa kabila la Gadi ukoo kwa ukoo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Huo ndio urithi wa wana wa Gadi sawasawa na jamaa zao, miji yake na vijiji vyake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Miji na vijiji hivyo ndivyo walivyopewa watu wa kabila la Gadi kulingana na koo zao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hili ni fungu lao wana wa Gadi la kuzigawanyia koo zao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Huo ndio urithi wa wana wa Gadi sawasawa na jamaa zao, miji yake na vijiji vyake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Miji na vijiji hivi ndivyo watu wa kabila la Gadi walivyopewa kulingana na ukoo zao.