Joshua 13:29 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tena, Mose alikuwa ameipatia nusu ya kabila la Manase kulingana na koo zake,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Haya ndio maeneo ambayo Musa alikuwa amewapa nusu ya kabila la Manase, yaani kwa nusu ya jamaa ya uzao wa Manase, kufuatana na koo zao:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha Musa akawapa hao wa nusu ya kabila ya Manase urithi wao; ulikuwa ni wa hiyo nusu ya kabila ya wana wa Manase sawasawa na jamaa zao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tena, Mose alikuwa ameipatia nusu ya kabila la Manase kulingana na koo zake,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Haya ndiyo maeneo ambayo Mose alikuwa amewapa hiyo nusu ya kabila la Manase, yaani kwa nusu ya jamaa ya uzao wa Manase, ukoo kwa ukoo:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Haya ndiyo maeneo ambayo Musa alikuwa amewapa hiyo nusu ya kabila la Manase, yaani kwa nusu ya jamaa ya uzao wa Manase, ukoo kwa ukoo:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha Musa akawapa hao wa nusu ya kabila la Manase urithi wao; ulikuwa ni wa hiyo nusu ya kabila la wana wa Manase sawasawa na jamaa zao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tena, Mose alikuwa ameipatia nusu ya kabila la Manase kulingana na koo zake,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao waliokuwa nusu ya shina la Manase Mose aliwapa nchi, ikawa yao waliokuwa nusu ya wana wa Manase ya kuzigawanyia koo zao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha Musa akawapa hao wa nusu ya kabila ya Manase urithi wao; ulikuwa ni wa hiyo nusu ya kabila ya wana wa Manase sawasawa na jamaa zao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Tena, Musa alikuwa ameipatia nusu ya kabila la Manase kulingana na ukoo zake,