Joshua 13:30 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
eneo la nchi kuanzia Mahanaimu hadi kuingia katika nchi yote iliyokuwa ya mfalme Ogu katika Bashani, pamoja na miji sitini ya Yairi,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Eneo lililoenea kuanzia Mahanaimu, na kujumlisha Bashani yote, ufalme wote wa Ogu mfalme wa Bashani, makazi yote ya Yairi huko Bashani, miji sitini,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na mpaka wao ulikuwa kutoka huko Mahanaimu, Bashani yote, na ufalme wote wa Ogu mfalme wa Bashani, na miji yote ya Yairi, iliyo katika Bashani, miji sitini;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
eneo la nchi kuanzia Mahanaimu hadi kuingia katika nchi yote iliyokuwa ya mfalme Ogu katika Bashani, pamoja na miji sitini ya Yairi,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nchi iliyoenea kuanzia Mahanaimu, pamoja na Bashani yote, ufalme wote wa Ogu mfalme wa Bashani, makazi yote ya Yairi huko Bashani, miji sitini,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Eneo lililoenea kuanzia Mahanaimu, na kujumlisha Bashani yote, ufalme wote wa Ogu mfalme wa Bashani, makazi yote ya Yairi huko Bashani, miji sitini,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na mpaka wao ulikuwa kutoka huko Mahanaimu, Bashani yote, na ufalme wote wa Ogu mfalme wa Bashani, na miji yote ya Yairi, iliyo katika Bashani, miji sitini;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
eneo la nchi kuanzia Mahanaimu hadi kuingia katika nchi yote iliyokuwa ya mfalme Ogu katika Bashani, pamoja na miji sitini ya Yairi,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mpaka wao ulianza Mahanaimu, ukachukua Basani nzima, ndiyo nchi yote ya Ogi, mfalme wa Basani, pamoja na vijiji vyote vya Mahema ya Yairi vilivyokuwako kule Basani, pamoja ni miji 60.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na mpaka wao ulikuwa kutoka huko Mahanaimu, Bashani yote, na ufalme wote wa Ogu mfalme wa Bashani, na miji yote ya Yairi, iliyo katika Bashani, miji sitini;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
eneo la inchi kuanzia Mahanaimu mpaka kuingia katika inchi yote iliyokuwa ya mufalme Ogi katika Basani, pamoja na miji makumi sita ya Yairi,