Joshua 13:32 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mose alikuwa amewagawia sehemu hizo mbalimbali za nchi iliyokuwa mashariki ya Yeriko na Yordani, wakati alipokuwa kwenye tambarare za Moabu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Huu ndio urithi Musa alipeana alipokuwa katika tambarare za Moabu, ng’ambo ya Yordani, mashariki mwa Yeriko.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hizi ndizo mirathi ambazo Musa alizigawanya katika nchi tambarare za Moabu, ng'ambo ya pili ya Yordani, kukabili Yeriko, upande wa mashariki.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mose alikuwa amewagawia sehemu hizo mbalimbali za nchi iliyokuwa mashariki ya Yeriko na Yordani, wakati alipokuwa kwenye tambarare za Moabu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Huu ndio urithi alioutoa Mose wakati alipokuwa katika tambarare za Moabu, ng'ambo ya Yordani mashariki ya Yeriko.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Huu ndio urithi alioupeana Musa wakati alipokuwa katika tambarare za Moabu, ng’ambo ya Yordani mashariki mwa Yeriko.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hii ndiyo mirathi ambayo Musa aliigawanya katika nchi tambarare za Moabu, ng'ambo ya pili ya Yordani, kukabili Yeriko, upande wa mashariki.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mose alikuwa amewagawia sehemu hizo mbalimbali za nchi iliyokuwa mashariki ya Yeriko na Yordani, wakati alipokuwa kwenye tambarare za Moabu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hizi ndizo nchi, Mose alizowapa, ziwe mafungu yao katika nyika za Moabu ng'ambo ya huko ya Yordani upande wa maawioni kwa jua, Yeriko ukiwa ng'ambo ya pili.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hizi ndizo mirathi ambazo Musa alizigawanya katika nchi tambarare za Moabu, ng’ambo ya pili ya Yordani, kukabili Yeriko, upande wa mashariki.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Musa alikuwa amewagawanyia sehemu hizo mbalimbali za inchi iliyokuwa upande wa mashariki wa Yeriko na Yordani, wakati alipokuwa kwenye mabonde ya Moabu.