Joshua 13:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
upande wa kusini. Hali kadhalika nchi za Wakanaani kuanzia Ara ya Wasidoni mpaka Afeka mpakani mwa Waamori;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kuanzia kusini; nchi yote ya Wakanaani, kuanzia Ara ambayo ni ya Wasidoni, ikienea hadi Afeki, na eneo la Waamori,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
upande wa kusini; nchi yote ya Wakanaani na Meara iliyo ya Wasidoni, mpaka Afeka, hata mpaka wa Waamori;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
upande wa kusini. Hali kadhalika nchi za Wakanaani kuanzia Ara ya Wasidoni mpaka Afeka mpakani mwa Waamori;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kuanzia upande wa kusini, eneo lote la Wakanaani, kuanzia Ara ambayo ni ya Wasidoni, ikienea hadi Afeki, na nchi ya Waamori,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kuanzia kusini, nchi yote ya Wakanaani, kuanzia Ara ambayo ni ya Wasidoni, ikienea hadi Afeki, na eneo la Waamori,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
upande wa kusini; nchi yote ya Wakanaani na Meara iliyo ya Wasidoni, mpaka Afeka, hata mpaka wa Waamori;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
upande wa kusini. Hali kadhalika nchi za Wakanaani kuanzia Ara ya Wasidoni mpaka Afeka mpakani mwa Waamori;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena Waawi walioko kusini, tena nchi nzima ya Wakanaani na Meara iliyo ya Wasidoni mpaka Afeki hata kwenye mipaka ya Waamori.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
upande wa kusini; nchi yote ya Wakanaani na Meara iliyo ya Wasidoni, mpaka Afeka, hata mpaka wa Waamori;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
upande wa kusini. Vilevile inchi za Wakanana kuanzia Ara ya Wasidoni mpaka Afeki kwa mupaka wa Waamori;