Joshua 13:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Utayagawia nchi hizo makabila tisa na nusu ya kabila la Manase ambayo bado hayajapata kitu.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
sasa basi, ligawanye eneo hili kwa yale makabila tisa na ile nusu ya kabila la Manase kuwa urithi.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi sasa gawanya nchi hii, iwe urithi wa hizi kabila kenda, na nusu ya kabila ya Manase.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Utayagawia nchi hizo makabila tisa na nusu ya kabila la Manase ambayo bado hayajapata kitu.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
sasa basi, ligawanye eneo hili kwa yale makabila tisa na ile nusu ya kabila la Manase kuwa urithi.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
sasa basi, ligawanye eneo hili kwa yale makabila tisa na ile nusu ya kabila la Manase kuwa urithi.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi sasa gawanya nchi hii, iwe urithi wa haya makabila tisa, na nusu ya kabila la Manase.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Utayagawia nchi hizo makabila tisa na nusu ya kabila la Manase ambayo bado hayajapata kitu.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sasa nchi hizi zigawanyie yale mashina tisa na nusu ya Manase, ziwe mafungu yao!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi sasa gawanya nchi hii, iwe urithi wa hizi kabila kenda, na nusu ya kabila ya Manase.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Utayagawanyia inchi hizo makabila kenda na nusu ya kabila la Manase ambao bado hawajapata kitu.”