Joshua 13:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Makabila ya Reubeni, Gadi na nusu nyingine ya kabila la Manase yalikuwa yamepewa nchi iliyo mashariki ya mto Yordani, kama Mwenyezi-Mungu alivyomwamuru Mose, mtumishi wake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ile nusu nyingine ya Manase, Wareubeni na Wagadi, walishapokea urithi Musa aliokuwa amewapa mashariki mwa Yordani, sawasawa na mtumishi wa Mwenyezi Mungu alivyowagawia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Pamoja na yeye, Wareubeni na Wagadi walipata urithi wao, waliopewa na Musa, huko ng'ambo ya Yordani upande wa mashariki, vile vile kama huyo Musa mtumishi wa Bwana alivyowapa;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Makabila ya Reubeni, Gadi na nusu nyingine ya kabila la Manase yalikuwa yamepewa nchi iliyo mashariki ya mto Yordani, kama Mwenyezi-Mungu alivyomwamuru Mose, mtumishi wake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ile nusu nyingine ya kabila la Manase, Wareubeni na Wagadi, wao walishapokea urithi Mose aliokuwa amewapa mashariki ya Yordani, sawasawa na mtumishi wa BWANA alivyowagawia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ile nusu nyingine ya Manase, Wareubeni na Wagadi, walishapokea urithi Musa aliokuwa amewapa mashariki mwa Yordani, sawasawa na mtumishi wa bwana alivyowagawia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Pamoja na yeye, Wareubeni na Wagadi walipata urithi wao, waliopewa na Musa, huko ng'ambo ya Yordani upande wa mashariki, vile vile kama huyo Musa mtumishi wa BWANA alivyowapa;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Makabila ya Reubeni, Gadi na nusu nyingine ya kabila la Manase yalikuwa yamepewa nchi iliyo mashariki ya mto Yordani, kama Mwenyezi-Mungu alivyomwamuru Mose, mtumishi wake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nusu yake nyingine wamekwisha kuyachukua mafungu yao pamoja nao wa Rubeni na wa Gadi, Mose aliyowapa ng'ambo ya huko ya Yordani upande wa maawioni kwa jua; wameyachukua sawasawa, kama Mose, mtumishi wa Bwana, alivyowapa:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Pamoja na yeye, Wareubeni na Wagadi walipata urithi wao, waliopewa na Musa, huko ng’ambo ya Yordani upande wa mashariki, vile vile kama huyo Musa mtumishi wa BWANA alivyowapa;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Makabila ya Rubeni, Gadi na nusu nyingine ya kabila la Manase yalikuwa yamepewa inchi inayokuwa upande wa mashariki wa muto Yordani, kama vile Yawe alivyomwamuru Musa, mutumishi wake.