Joshua 13:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Eneo lao lilikuwa kuanzia Aroeri ukingoni mwa bonde la Arnoni na mji ule ulio katikati ya bonde, na nchi ile yote ya tambarare tangu Medeba mpaka Diboni,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Eneo lao lilienea toka Aroeri, iliyo ukingoni mwa Bonde la Arnoni, kuanzia mji ulio katikati ya bonde, likijumlisha nchi ya uwanda wa juu wote wa Medeba hadi Diboni,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
kutoka huko Aroeri, iliyo pale ukingoni mwa bonde la Amoni, na huo mji ulio pale katikati ya bonde, na nchi tambarare yote ya Medeba mpaka Diboni;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Eneo lao lilikuwa kuanzia Aroeri ukingoni mwa bonde la Arnoni na mji ule ulio katikati ya bonde, na nchi ile yote ya tambarare tangu Medeba mpaka Diboni,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Eneo lao lilienea toka Aroeri, iliyoko ukingoni mwa Bonde la Arnoni kuanzia mji ulio katikati ya bonde, ikijumuisha nchi ya uwanda wa juu wote wa Medeba mpaka Diboni,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Eneo lao lilienea toka Aroeri, iliyoko ukingoni mwa Bonde la Arnoni kuanzia mji ulio katikati ya bonde, likijumlisha nchi ya uwanda wa juu wote wa Medeba mpaka Diboni,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
kutoka huko Aroeri, iliyoko pale ukingoni mwa bonde la Amoni, na huo mji ulioko pale katikati ya bonde, na nchi tambarare yote ya Medeba mpaka Diboni;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Eneo lao lilikuwa kuanzia Aroeri ukingoni mwa bonde la Arnoni na mji ule ulio katikati ya bonde, na nchi ile yote ya tambarare tangu Medeba mpaka Diboni,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
toka Aroeri ulioko mtoni kwa Arnoni nao ule mji uliomo katikati ya mto na nchi ya tambarare yote ya Medeba mpaka Diboni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
kutoka huko Aroeri, iliyo pale ukingoni mwa bonde la Amoni, na huo mji ulio pale katikati ya bonde, na nchi tambarare yote ya Medeba mpaka Diboni;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Eneo lao lilikuwa kuanzia Aroeri kandokando ya bonde la Arnoni na muji ule unaokuwa katikati ya bonde, na inchi ile yote ya bonde tangu Medeba mpaka Diboni,