Joshua 14:13 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ndipo Yoshua akambariki Kalebu mwana wa Yefune na kumpa mji wa Hebroni kuwa sehemu yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo Yoshua akambariki Kalebu mwana wa Yefune, na akampa Hebroni kama urithi wake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yoshua akambarikia, akampa Kalebu, huyo mwana wa Yefune, Hebroni kuwa urithi wake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ndipo Yoshua akambariki Kalebu mwana wa Yefune na kumpa mji wa Hebroni kuwa sehemu yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo Yoshua akambariki Kalebu mwana wa Yefune, naye akampa Hebroni kuwa urithi wake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo Yoshua akambariki Kalebu mwana wa Yefune, na akampa Hebroni kama urithi wake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yoshua akambariki, akampa Kalebu, huyo mwana wa Yefune, Hebroni kuwa urithi wake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ndipo Yoshua akambariki Kalebu mwana wa Yefune na kumpa mji wa Hebroni kuwa sehemu yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, Yosua alipombariki Kalebu, mwana wa Yefune, akampa Heburoni, uwe fungu lake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yoshua akambarikia, akampa Kalebu, huyo mwana wa Yefune, Hebroni kuwa urithi wake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu Yoshua akamubariki Kalebu mwana wa Yefune na kumupa muji wa Hebroni kuwa sehemu yake.