Joshua 14:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sehemu yao hiyo waligawiwa kwa kura kama vile Mwenyezi-Mungu alivyomwamuru Mose awape yale makabila tisa na nusu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Urithi wao uligawanywa kwa kura kwa yale makabila tisa na nusu, kama Mwenyezi Mungu alivyoamuru Musa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
kwa kuandama hiyo kura ya urithi wao, vile vile kama Bwana alivyoamuru kwa mkono wa Musa, kwa ajili ya hizo kabila kenda, na hiyo nusu ya kabila.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sehemu yao hiyo waligawiwa kwa kura kama vile Mwenyezi-Mungu alivyomwamuru Mose awape yale makabila tisa na nusu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Urithi wao uligawanywa kwa kura kwa yale makabila tisa na nusu, kama BWANA alivyomwagiza Mose.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Urithi wao uligawanywa kwa kura kwa yale makabila tisa na nusu, kama bwana alivyoamuru Musa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
kwa kufuata hiyo kura ya urithi wao, vile vile kama BWANA alivyoamuru kwa mkono wa Musa, kwa ajili ya hayo makabila tisa, na hiyo nusu ya kabila.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sehemu yao hiyo waligawiwa kwa kura kama vile Mwenyezi-Mungu alivyomwamuru Mose awape yale makabila tisa na nusu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Waliyapata mafungu yao kwa kuyapigia kura, kama Bwana alivyoviagiza kinywani mwa Mose kwa ajili ya hayo mashina tisa na nusu ya Manase.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
kwa kuandama hiyo kura ya urithi wao, vile vile kama BWANA alivyoamuru kwa mkono wa Musa, kwa ajili ya hizo kabila kenda, na hiyo nusu ya kabila.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sehemu hiyo yao waligawanyiwa kwa kura kama vile Yawe alivyomwamuru Musa awape yale makabila tisa na nusu.