Joshua 14:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mose alikuwa ameyapa yale makabila mawili na nusu sehemu yao mashariki ya Yordani, lakini Walawi hawakuwa wamepewa sehemu yao pamoja nao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Musa alikuwa amewapa yale makabila mawili na nusu urithi wao upande wa mashariki mwa Yordani, lakini Walawi hawakupewa urithi miongoni mwa hao wengine,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa kuwa Musa alikuwa amekwisha kuwapa urithi hizo kabila mbili na nusu, ng'ambo ya pili ya Yordani; lakini hakuwapa Walawi urithi uwao wote kati yao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mose alikuwa ameyapa yale makabila mawili na nusu sehemu yao mashariki ya Yordani, lakini Walawi hawakuwa wamepewa sehemu yao pamoja nao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mose alikuwa amewapa yale makabila mawili na nusu urithi wao upande wa mashariki ya Yordani, lakini Walawi hawakupewa urithi miongoni mwa hao wengine,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Musa alikuwa amewapa yale makabila mawili na nusu urithi wao upande wa mashariki mwa Yordani, lakini Walawi hawakupewa urithi miongoni mwa hao wengine,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa kuwa Musa alikuwa amekwisha kuwapa urithi hayo makabila mawili na nusu, ng'ambo ya pili ya Yordani; lakini hakuwapa Walawi urithi wowote kati yao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mose alikuwa ameyapa yale makabila mawili na nusu sehemu yao mashariki ya Yordani, lakini Walawi hawakuwa wamepewa sehemu yao pamoja nao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani yale mashina mawili na nusu ya lile shina moja Mose aliwapa mafugu yao ng'ambo ya huko ya Yordani, lakini Walawi hakuwapa fungu katikati yao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa kuwa Musa alikuwa amekwisha kuwapa urithi hizo kabila mbili na nusu, ng’ambo ya pili ya Yordani; lakini hakuwapa Walawi urithi uwao wote kati yao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Musa alikuwa ameyapa yale makabila mawili na nusu sehemu yao upande wa mashariki wa Yordani, lakini Walawi hawakukuwa wamepewa sehemu yao pamoja nao.