Joshua 14:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
hali wale wenzangu waliokwenda pamoja nami waliwavunja watu moyo, lakini mimi nilimfuata Mwenyezi-Mungu, Mungu wangu, kwa uaminifu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini ndugu zangu tuliopanda nao waliifanya mioyo ya watu iyeyuke kwa hofu. Bali mimi, nilimfuata Mwenyezi Mungu, Mungu wangu, kwa moyo wote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini wale ndugu zangu waliokwea kwenda pamoja nami waliiyeyusha mioyo ya watu; ila mimi nilimfuata Bwana, Mungu wangu, kwa utimilifu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
hali wale wenzangu waliokwenda pamoja nami waliwavunja watu moyo, lakini mimi nilimfuata Mwenyezi-Mungu, Mungu wangu, kwa uaminifu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini wenzangu tuliopanda nao waliifanya mioyo ya watu iyeyuke kwa hofu. Bali mimi, nilimfuata BWANA Mungu wangu kwa moyo wote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini ndugu zangu tuliopanda nao waliifanya mioyo ya watu iyeyuke kwa hofu. Bali mimi, nilimfuata bwana Mwenyezi Mungu wangu kwa moyo wote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini wale ndugu zangu waliokwea kwenda pamoja nami waliwavunja watu moyo; ila mimi nilimfuata BWANA, Mungu wangu, kwa utimilifu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
hali wale wenzangu waliokwenda pamoja nami waliwavunja watu moyo, lakini mimi nilimfuata Mwenyezi-Mungu, Mungu wangu, kwa uaminifu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini ndugu zangu waliopanda pamoja nami wakaiyeyusha mioyo ya watu hawa, lakini mimi nilijishupaza kabisa kumfuata Bwana Mungu wangu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini wale ndugu zangu waliokwea kwenda pamoja nami waliiyeyusha mioyo ya watu; ila mimi nilimfuata BWANA, Mungu wangu, kwa utimilifu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakati wale wenzangu waliokwenda pamoja nami waliwavunja watu moyo, lakini mimi nilimufuata Yawe, Mungu wangu, kwa uaminifu.