Joshua 15:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mpaka wa magharibi ulikuwa bahari ya Mediteranea. Ndivyo ilivyokuwa mipaka ya eneo walilopewa watu wa kabila la Yuda kulingana na koo zao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mpaka wa magharibi ni pwani ya Bahari Kuu. Hii ndiyo mipaka ya watu wa Yuda kwa koo zao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na mpaka wa upande wa magharibi ulifikilia hata bahari kubwa, na mpaka wake. Huo ndio mpaka wa wana wa Yuda kwa kuzunguka kote kote sawasawa na jamaa zao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mpaka wa magharibi ulikuwa bahari ya Mediteranea. Ndivyo ilivyokuwa mipaka ya eneo walilopewa watu wa kabila la Yuda kulingana na koo zao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mpaka wa magharibi ni pwani ya Bahari Kuu. Hii ndiyo iliyokuwa mipaka ya watu wa Yuda kwa koo zao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mpaka wa magharibi ni pwani ya Bahari Kuu. Hii ndiyo mipaka ya watu wa Yuda kwa koo zao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na mpaka wa upande wa magharibi ulifika hadi Bahari Kubwa, na mpaka wake. Huo ndio mpaka wa wana wa Yuda kwa kuzunguka kotekote sawasawa na jamaa zao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mpaka wa magharibi ulikuwa bahari ya Mediteranea. Ndivyo ilivyokuwa mipaka ya eneo walilopewa watu wa kabila la Yuda kulingana na koo zao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao mpaka wa upande wa baharini ulikuwa Bahari Kubwa na nchi yake ya pwani. Hii ilikuwa mipaka ya kuzizunguka nchi za wana wa Yuda za kuzigawanyia koo zao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na mpaka wa upande wa magharibi ulifikilia hata bahari kubwa, na mpaka wake. Huo ndio mpaka wa wana wa Yuda kwa kuzunguka kote kote sawasawa na jamaa zao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mupaka wa upande wa magaribi ulikuwa bahari ya Mediteranea. Ndivyo ilivyokuwa mipaka ya eneo walilopewa watu wa kabila la Yuda kulingana na ukoo zao.