Joshua 15:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mpaka wao upande wa kusini ulianza pembe ya kusini ya Bahari ya Chumvi,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mpaka wao wa kusini ulianzia ghuba iliyo kwenye ncha ya kusini mwa Bahari ya Chumvi,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mpaka wao wa kusini ulikuwa kutoka mwisho wa Bahari ya Chumvi, kutoka ile hori ielekeayo kusini;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mpaka wao upande wa kusini ulianza pembe ya kusini ya Bahari ya Chumvi,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mpaka wao wa kusini ulianzia kwenye ghuba iliyoko kwenye ncha ya kusini mwa Bahari ya Chumvi,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mpaka wao wa kusini ulianzia kwenye ghuba iliyoko kwenye ncha ya kusini mwa Bahari ya Chumvi,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mpaka wao wa kusini ulikuwa kutoka mwisho wa Bahari ya Chumvi, kutoka ile hori ielekeayo kusini;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mpaka wao upande wa kusini ulianza pembe ya kusini ya Bahari ya Chumvi,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Huo mpaka wao wa upande wa kusini ulianzia mwishoni kwa Bahari ya Chumvi kwenye pembe yake ielekeayo kusini.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mpaka wao wa kusini ulikuwa kutoka mwisho wa Bahari ya Chumvi, kutoka ile hori ielekeayo kusini;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mupaka wao upande wa kusini ulianzia kwenye pembe ya kusini ya bahari ya Chumvi,