Joshua 15:20 — Compare Translations

10 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hii ndiyo nchi waliyopewa watu wa kabila la Yuda kulingana na koo zake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Huu ndio urithi wa kabila la Yuda, kufuatana na koo zao:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Huu ndio urithi wa kabila ya wana wa Yuda sawasawa na jamaa zao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hii ndiyo nchi waliyopewa watu wa kabila la Yuda kulingana na koo zake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Huu ndio urithi wa kabila la Yuda, ukoo kwa ukoo:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Huu ndio urithi wa kabila la Yuda, ukoo kwa ukoo:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Huu ndio urithi wa kabila la wana wa Yuda sawasawa na jamaa zao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hii ndiyo nchi waliyopewa watu wa kabila la Yuda kulingana na koo zake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hizi ndizo nchi za shina la wana wa Yuda za kuzigawanyia koo zao, ziwe mafungu yao:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Huu ndio urithi wa kabila ya wana wa Yuda sawasawa na jamaa zao.