Joshua 15:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kutoka hapo ulipita karibu na Asmoni na kufuata kijito cha Misri hadi kufikia kwenye bahari ya Mediteranea. Hapo ndipo ulipopita mpaka wa kusini wa Yuda.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha ukaendelea hadi Azmoni, na kuunganika na Kijito cha Misri, na kuishia baharini. Huu ndio mpaka wao wa upande wa kusini.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
kisha ukaendelea hata Azmoni, na kutokea hapo penye kijito cha Misri; na matokeo ya huo mpaka yalikuwa baharini; huu ndio mpaka wenu wa upande wa kusini.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kutoka hapo ulipita karibu na Asmoni na kufuata kijito cha Misri hadi kufikia kwenye bahari ya Mediteranea. Hapo ndipo ulipopita mpaka wa kusini wa Yuda.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha ukaendelea mpaka Azmoni na kuunganika na Mto wa Misri, na kuishia baharini. Huu ndio mpaka wao wa upande wa kusini.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha ukaendelea mpaka Azmoni na kuunganika na Kijito cha Misri, na kuishia baharini. Huu ndio mpaka wao wa upande wa kusini.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
kisha ukaendelea hadi Azmoni, na kutokea hapo penye kijito cha Misri; na mwisho wa mpaka huo ulikuwa baharini; huu ndio mpaka wenu wa upande wa kusini.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kutoka hapo ulipita karibu na Asmoni na kufuata kijito cha Misri hadi kufikia kwenye bahari ya Mediteranea. Hapo ndipo ulipopita mpaka wa kusini wa Yuda.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
ulifika Asimoni, kisha ulitokea kwenye mto wa Misri, mwisho ulitokea baharini. Huu ndio mpaka wenu wa kusini.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
kisha ukaendelea hata Azmoni, na kutokea hapo penye kijito cha Misri; na matokeo ya huo mpaka yalikuwa baharini; huu ndio mpaka wenu wa upande wa kusini.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kutoka hapo ulipita karibu na Asimoni na kufuata kijito cha Misri mpaka kufikia kwenye bahari ya Mediteranea. Hapo ndipo mupaka wa kusini wa Yuda ulipopita.