Joshua 15:47 — Compare Translations

10 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ashdodi na Gaza pamoja na miji na vijiji vyake, mpaka kijito cha Misri hadi pwani ya bahari ya Mediteranea.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ashdodi, makazi yake na vijiji vyake, na Gaza, makazi yake na vijiji vyake, hadi kufikia Kijito cha Misri na Pwani ya Bahari Kuu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ashdodi, na miji yake na vijiji vyake; na Gaza, na miji yake na vijiji vyake; mpaka kijito cha Misri, na bahari kubwa, na mpaka wake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ashdodi na Gaza pamoja na miji na vijiji vyake, mpaka kijito cha Misri hadi pwani ya bahari ya Mediteranea.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ashdodi, miji yake na vijiji vyake na Gaza viunga vyake na vijiji vyake, hadi kufikia Mto wa Misri na Pwani ya Bahari Kuu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ashdodi, miji yake na vijiji vyake na Gaza viunga vyake na vijiji vyake, hadi kufikia Kijito cha Misri na Pwani ya Bahari Kuu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ashdodi, na miji yake na vijiji vyake; Gaza, na miji yake na vijiji vyake; mpaka kijito cha Misri, na bahari kuu na pwani yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ashdodi na Gaza pamoja na miji na vijiji vyake, mpaka kijito cha Misri hadi pwani ya bahari ya Mediteranea.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Asdodi na vijiji vyake na mitaa yake, Gaza pamoja na vijiji vyake na mitaa yake mpaka kwenye mto wa Misri, nao mpaka wake ni Bahari Kubwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ashdodi, na miji yake na vijiji vyake; na Gaza, na miji yake na vijiji vyake; mpaka kijito cha Misri, na bahari kubwa, na mpaka wake.