Joshua 15:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mpaka huo ukapita Bethi-hogla na kaskazini ya Beth-araba hadi kwenye jiwe la Bohani mwana wa Reubeni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
ukapanda hadi Beth-Hogla, na kuendelea kaskazini mwa Beth-Araba hadi kwenye Jiwe la Bohani mwana wa Reubeni.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na huo mpaka ukaendelea hata Beth-hogla, kisha ukaendelea upande wa kaskazini wa Beth-araba; kisha mpaka ukaendelea hata jiwe la Bohani mwana wa Reubeni;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mpaka huo ukapita Bethi-hogla na kaskazini ya Beth-araba hadi kwenye jiwe la Bohani mwana wa Reubeni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
ukapanda hadi Beth-Hogla, na kuendelea kaskazini mwa Beth-Araba hadi kwenye jiwe la Bohani mwana wa Reubeni.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
ukapanda hadi Beth-Hogla, na kuendelea kaskazini mwa Beth-Araba hadi kwenye Jiwe la Bohani mwana wa Reubeni.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na huo mpaka ukaendelea hadi Beth-hogla, kisha ukaendelea upande wa kaskazini wa Beth-araba; kisha mpaka ukaendelea hadi jiwe la Bohani mwana wa Reubeni;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mpaka huo ukapita Bethi-hogla na kaskazini ya Beth-araba hadi kwenye jiwe la Bohani mwana wa Reubeni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kutoka huko mpaka ulipanda Beti-Hogla, ulipitia Beti-Araba upande wake wa kaskazini, kisha mpaka uliupanda mwamba wa Bohani, mwana wa Rubeni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na huo mpaka ukaendelea hata Beth-hogla, kisha ukaendelea upande wa kaskazini wa Beth-araba; kisha mpaka ukaendelea hata jiwe la Bohani mwana wa Reubeni;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mupaka huo ukapita Beti-Hogla na kaskazini ya Beti-Araba mpaka kwenye jiwe la Bohani mwana wa Rubeni.