Joshua 16:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha ukashuka magharibi katika nchi ya Wayafleti hadi Beth-horoni ya Chini na Gezeri na kuishia kwenye bahari ya Mediteranea.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
ukateremkia kuelekea magharibi hadi eneo la Wayafleti ukienea hadi eneo la Beth-Horoni ya Chini hadi Gezeri, ukiishia baharini.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
kisha ikatelemkia upande wa magharibi hata kuufikilia mpaka wa Wayafleti, hata mpaka wa Beth-horoni ya chini, hata kufikilia Gezeri; na matokeo yake yalikuwa hapo baharini.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha ukashuka magharibi katika nchi ya Wayafleti hadi Beth-horoni ya Chini na Gezeri na kuishia kwenye bahari ya Mediteranea.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
ukatelemkia kuelekea magharibi hadi nchi ya Wayafleti mpaka sehemu ya Beth-Horoni ya Chini hadi Gezeri, ukiishia baharini.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
ukateremkia kuelekea magharibi hadi eneo la Wayafleti ukienea hadi eneo la Beth-Horoni ya Chini hadi Gezeri, ukiishia baharini.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
kisha ikateremkia upande wa magharibi hadi kuufikia mpaka wa Wayafleti, hadi mpaka wa Beth-horoni ya chini, hadi kufikia Gezeri; na matokeo yake yalikuwa hapo baharini.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha ukashuka magharibi katika nchi ya Wayafleti hadi Beth-horoni ya Chini na Gezeri na kuishia kwenye bahari ya Mediteranea.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Toka huko ulitelemka upande wa baharini kuufikia mpaka wa Wayafuleti hata mpaka wa Beti-Horoni wa chini mpaka Gezeri; mwisho ulitokea baharini.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
kisha ikatelemkia upande wa magharibi hata kuufikilia mpaka wa Wayafleti, hata mpaka wa Beth-horoni ya chini, hata kufikilia Gezeri; na matokeo yake yalikuwa hapo baharini.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha ukashuka upande wa magaribi katika inchi ya Wayefeleti hata Beti-Horoni ya Chini na Gezeri na kuishia kwenye bahari ya Mediteranea.