Joshua 16:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wazawa wa Yosefu, yaani kabila la Manase na kabila la Efraimu, walipewa nchi hiyo kuwa milki yao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo Manase na Efraimu, wazao wa Yusufu, walipokea urithi wao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na wana wa Yusufu, Manase na Efraimu, walitwaa urithi wao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wazawa wa Yosefu, yaani kabila la Manase na kabila la Efraimu, walipewa nchi hiyo kuwa milki yao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo Manase na Efraimu, wazao wa Yosefu, walipokea urithi wao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo Manase na Efraimu, wazao wa Yusufu, walipokea urithi wao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na wana wa Yusufu, Manase na Efraimu, walitwaa urithi wao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wazawa wa Yosefu, yaani kabila la Manase na kabila la Efraimu, walipewa nchi hiyo kuwa milki yao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wana wa Yosefu, Manase na Efuraimu, wakazipata nchi hizi, ziwe mafungu yao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na wana wa Yusufu, Manase na Efraimu, walitwaa urithi wao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wazao wa Yosefu, ni kusema kabila la Manase na kabila la Efuraimu, walipewa inchi hiyo kuwa urizi wao.