Joshua 17:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini wazawa wa Manase hawakuweza kuwafukuza wakazi wa miji hiyo, Wakanaani wakaendelea kuishi humo,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini Wamanase hawakuweza kuimiliki miji hii, kwa kuwa Wakanaani walikazana kuishi katika maeneo hayo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini wana wa Manase hawakuweza kuwafukuza wenyeji wa miji hiyo; bali hao Wakanaani walijikaza ili wakae katika nchi hiyo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini wazawa wa Manase hawakuweza kuwafukuza wakazi wa miji hiyo, Wakanaani wakaendelea kuishi humo,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini Wamanase hawakuweza kuimiliki miji hii, kwa kuwa Wakanaani waliendelea kuishi katika maeneo hayo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini Wamanase hawakuweza kuimiliki miji hii, kwa kuwa Wakanaani walikazana kuishi katika maeneo hayo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini wana wa Manase hawakuweza kuwafukuza wenyeji wa miji hiyo; bali hao Wakanaani walijikaza ili wakae katika nchi hiyo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini wazawa wa Manase hawakuweza kuwafukuza wakazi wa miji hiyo, Wakanaani wakaendelea kuishi humo,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini wana wa Manase hawakuweza kuwafukuza wenyeji wa hiyo miji; ndivyo, Wakanaani walivyopata kukaa kwanza katika nchi hii.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini wana wa Manase hawakuweza kuwafukuza wenyeji wa miji hiyo; bali hao Wakanaani walijikaza ili wakae katika nchi hiyo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini wazao wa Manase hawakuweza kuwafukuza wakaaji wa miji hiyo. Wakanana wakaendelea kuishi humo,