Joshua 17:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
ingawa hata baada ya Waisraeli kuwa na nguvu zaidi, hawakuweza kuwafukuza ila tu waliwafanyisha kazi za kulazimishwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hata hivyo, Waisraeli walivyoendelea kupata nguvu waliwatumikisha Wakanaani na kuwatia katika kazi za kulazimishwa, lakini hawakuwafukuza kabisa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha ikawa, hapo hao wana wa Israeli walipokuwa wamepata nguvu zaidi, ndipo wakawatenza nguvu hao Wakanaani wafanye kazi ya shokoa, wala hawakuwafukuza kabisa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
ingawa hata baada ya Waisraeli kuwa na nguvu zaidi, hawakuweza kuwafukuza ila tu waliwafanyisha kazi za kulazimishwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hata hivyo, Waisraeli walivyoendelea kupata nguvu waliwatumikisha Wakanaani na kuwatia katika kazi ngumu za kulazimisha, lakini hawakuwafukuza kutoka katika ile nchi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hata hivyo, Waisraeli walivyoendelea kupata nguvu waliwatumikisha Wakanaani na kuwatia katika kazi za kulazimishwa, lakini hawakuwafukuza kabisa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha ikawa, hapo hao wana wa Israeli walipokuwa wamepata nguvu zaidi, ndipo wakawalazimisha hao Wakanaani wafanye kazi ya shokoa, wala hawakuwafukuza kabisa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
ingawa hata baada ya Waisraeli kuwa na nguvu zaidi, hawakuweza kuwafukuza ila tu waliwafanyisha kazi za kulazimishwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini Waisiraeli walipopata nguvu wakawashurutisha Wakanaani kuwafanyia kazi za kitumwa, lakini kufukuza hawakuwafukuza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha ikawa, hapo hao wana wa Israeli walipokuwa wamepata nguvu zaidi, ndipo wakawatenza nguvu hao Wakanaani wafanye kazi ya shokoa, wala hawakuwafukuza kabisa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
ingawa hata nyuma ya Waisraeli kuwa na nguvu zaidi, hawakuweza kuwafukuza, lakini tu waliwafanyisha kazi za kulazimishwa.