Joshua 17:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini Selofehadi mwana wa Heferi, mwana wa Gileadi, mwana wa Makiri, mwana wa Manase, hakuwa na watoto wa kiume, bali alikuwa na watoto wa kike tu, nao walikuwa: Mahla, Noa, Hogla, Milka na Tirza.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi Selofehadi mwana wa Heferi, mwana wa Gileadi, mwana wa Makiri, mwana wa Manase hakuwa na wana wa kiume ila binti tu, ambao majina yao yalikuwa Mahla, Noa, Hogla, Milka na Tirsa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini Selofehadi, mwana wa Heferi, mwana wa Gileadi, mwana wa Makiri, mwana wa Manase, hakuwa na wana waume ila binti; na majina ya hao binti zake walikuwa wakiitwa Mala, na Noa, na Hogla, na Milka, na Tirsa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini Selofehadi mwana wa Heferi, mwana wa Gileadi, mwana wa Makiri, mwana wa Manase, hakuwa na watoto wa kiume, bali alikuwa na watoto wa kike tu, nao walikuwa: Mahla, Noa, Hogla, Milka na Tirza.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi Selofehadi mwana wa Heferi, mwana wa Gileadi, mwana wa Makiri, mwana wa Manase hakuwa na wana waume ila binti tu, ambao majina yao ni Mala, Noa, Hogla, Milka na Tirsa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi Selofehadi mwana wa Heferi, mwana wa Gileadi, mwana wa Makiri, mwana wa Manase hakuwa na wana waume ila mabinti tu, ambao majina yao yalikuwa Mahla, Noa, Hogla, Milka na Tirsa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini Selofehadi, mwana wa Heferi, mwana wa Gileadi, mwana wa Makiri, mwana wa Manase, hakuwa na wana wa kiume ila binti; na majina ya hao mabinti zake walikuwa wakiitwa Mala, Nuhu, Hogla, Milka na Tirza.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini Selofehadi mwana wa Heferi, mwana wa Gileadi, mwana wa Makiri, mwana wa Manase, hakuwa na watoto wa kiume, bali alikuwa na watoto wa kike tu, nao walikuwa: Mahla, Noa, Hogla, Milka na Tirza.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini Selofuhadi, mwana wa Heferi, mwana wa Gileadi mwana wa Makiri, mwana wa Manase, hakuwa na wana wa kiume, ila wa kike tu, nayo haya ndiyo majina ya wanawe wa kike: Mala na Noa, Hogla, Milka na Tirsa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini Selofehadi, mwana wa Heferi, mwana wa Gileadi, mwana wa Makiri, mwana wa Manase, hakuwa na wana waume ila binti; na majina ya hao binti zake walikuwa wakiitwa Mala, na Noa, na Hogla, na Milka, na Tirsa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini Zelofehadi mwana wa Heferi, mujukuu wa Gileadi mwana wa Makiri mwana wa Manase, hakukuwa na watoto wa kiume, lakini alikuwa na wabinti tu nao walikuwa: Mala, Noa, Hogla, Milka na Tirza.