Joshua 17:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Eneo la kabila la Manase lilianzia Asheri na kwenda hadi Mikmethathi mashariki ya Shekemu; halafu mpaka wao ukaendelea kusini hadi kwenye nchi ya wakazi wa En-tapua.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Eneo la Manase lilienea kuanzia Asheri hadi Mikmeta mashariki mwa Shekemu. Mpaka ule ulielekea upande wa kusini kutoka pale kujumuisha watu walioishi En-Tapua.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mpaka wa Manase ulikuwa kutoka Asheri hata Mikmeta, ulioelekea Shekemu; tena mpaka ukaendelea upande wa kuume, hata kuwafikilia wenyeji wa Entapua.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Eneo la kabila la Manase lilianzia Asheri na kwenda hadi Mikmethathi mashariki ya Shekemu; halafu mpaka wao ukaendelea kusini hadi kwenye nchi ya wakazi wa En-tapua.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nchi ya Manase ilienea kuanzia Asheri hadi Mikmeta mashariki mwa Shekemu. Mpaka ulielekea upande wa kusini kutoka pale ukajumuisha watu wanaoishi En-Tapua.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Eneo la Manase lilienea kuanzia Asheri hadi Mikmeta mashariki mwa Shekemu. Mpaka ule ulielekea upande wa kusini kutoka pale kujumuisha watu walioishi En-Tapua.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mpaka wa Manase ulikuwa kutoka Asheri hadi Mikmeta, ulioelekea Shekemu; tena mpaka ukaendelea upande wa kulia, hata kuwafikia wenyeji wa Entapua.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Eneo la kabila la Manase lilianzia Asheri na kwenda hadi Mikmethathi mashariki ya Shekemu; halafu mpaka wao ukaendelea kusini hadi kwenye nchi ya wakazi wa En-tapua.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao mpaka wa Manase ulitoka kwa Aseri, ukaja Mikimetati unaoelekea Sikemu; huko uligeukia kuumeni kufika kwa wenyeji wa Eni-Tapua.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mpaka wa Manase ulikuwa kutoka Asheri hata Mikmeta, ulioelekea Shekemu; tena mpaka ukaendelea upande wa kuume, hata kuwafikilia wenyeji wa Entapua.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Eneo la kabila la Manase lilianzia Aseri na kwenda hata Mikimetati upande wa mashariki ya Sekemu; halafu mupaka wao ukaendelea upande wa kusini mpaka kwenye inchi ya wakaaji wa Eni-Tapua.