Joshua 17:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nchi ya Tapua ilikuwa mali yake Manase, lakini mji wa Tapua, ambao ulikuwa mpakani, ulikuwa mali ya wazawa wa Efraimu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
(Nchi ya Tapua ilikuwa mali ya Manase, lakini Tapua yenyewe iliyo mpakani mwa nchi ya Manase ilikuwa ya Waefraimu.)
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hiyo nchi ya Tapua ilikuwa ni mali ya Manase; lakini ule mji wa Tapua uliokuwa katika mpaka wa Manase ulikuwa ni mali ya wana wa Efraimu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nchi ya Tapua ilikuwa mali yake Manase, lakini mji wa Tapua, ambao ulikuwa mpakani, ulikuwa mali ya wazawa wa Efraimu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
(Nchi ya Tapua ilikuwa mali ya Manase, lakini Tapua yenyewe iliyo mpakani mwa nchi ya Manase ilikuwa ya Waefraimu.)
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
(Nchi ya Tapua ilikuwa mali ya Manase, lakini Tapua yenyewe iliyo mpakani mwa nchi ya Manase ilikuwa ya Waefraimu.)
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hiyo nchi ya Tapua ilikuwa ni mali ya Manase; lakini ule mji wa Tapua uliokuwa katika mpaka wa Manase ulikuwa ni mali ya wana wa Efraimu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nchi ya Tapua ilikuwa mali yake Manase, lakini mji wa Tapua, ambao ulikuwa mpakani, ulikuwa mali ya wazawa wa Efraimu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nchi ya Tapua ilikuwa yake Manase, lakini mji wa Tapua uliokuwa mpakani ulikuwa wao wana wa Efuraimu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hiyo nchi ya Tapua ilikuwa ni mali ya Manase; lakini ule mji wa Tapua uliokuwa katika mpaka wa Manase ulikuwa ni mali ya wana wa Efraimu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Inchi ya Tapua ilikuwa mali ya Manase, lakini muji wa Tapua, ambao ulikuwa kwenye mupaka, ulikuwa mali ya wazao wa Efuraimu.